Wizara ya elimu yafunga shule ya msingi ya Garden of Hope Ngong

  • | Citizen TV
    64 views

    Wizara ya elimu imefunga shule ya msingi ya Garden of Hope Ngong katika eneo Bunge la kajiado kaskazini, kwa madai ya kuwa shule hiyo ina mzozo Kati ya wasimamizi, wafadhili na pia mzozo wa ardhi ya shule hiyo.