Wizara ya elimu yafutilia mbali karo za wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuoni

  • | KBC Video
    129 views

    Ni afueni kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu baada ya wizara ya elimu kufutilia mbali karo iliyokuwa imetangazwa na kutolewa awali ambapo wazazi wangehitajika kulipia gharama kamilifu ya kila kozi ambayo wanafunzi husika wanasomea.Kwenye taarifa katibu katika idara ya elimu ya juu na utafiti Dkt. Beatrice Inyangala alisema wanafunzi hao watapokea mwongozo mpya wa karo ambayo italipwa na kila mwanafunzi kama michango ya familia kuanzia tarehe 5 mwezi Agosti mwaka huu. Haya yanajiri huku malalamishi yakiibuliwa kuhusiana na karo iliyopendekezwa awali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive