Wizara ya elimu yatangaza kuongeza muda wa muhula

  • | Citizen TV
    2,110 views

    Serikali inapanga kuongeza muhula wa masomo shule zitakapofunguliwa Jumatatu ili kufidia muda wa wiki mbili uliopotea baada ya taasisi za elimu kuahirisha kufunguliwa kutokana na janga la mafuriko. Kulingana na waziri wa elimu Ezekiel Machogu hatua hiyo itawawezesha wanafunzi kukamilisha mtaala wa muhula wa pili.