Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya elimu yatetea hazina mpya ya ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    185 views
    Duration: 1:08
    wizara ya elimu imetetea hazina mpya ya ufadhili wa masomo inayopendekezwa na ambayo inasubiriwa kujadiliwa bungeni. Makatibu na maafisa wakuu wa wizara hiyo wanasem akuwa hazina hiyo itahakikisha mpito wa asilimia kw amia ya wanafunzi wanaofuzu kujiunga na vyuo vikuu na vyuo anwai. Katibu wa masomo ya juu Beatrice Inyangala ameieleza kamati ya bunge kuhusu elimu kuwa mwada uliopendekezwa utaruhusu wanafunzi wote kupata mikopo ya kugharamia karo na mahitaji mengine. wanafunzi watalipa pesa hizo watakapokamilisha masomo yao.