Wizara ya fedha inaendelea kukusanya maoni kuhusu kanuni za usimamizi wa hazina ya fedha za 'hasla'

  • | K24 Video
    28 views

    Wizara ya fedha inaendelea kukusanya maoni kuhusu mpangilio na kanuni za usimamizi wa hazina ya fedha za 'hasla'. Mapendekezo ya baadhi ya wakenya katika kaunti tofauti ni riba inayotozwa kwa hazina hiyo ipunguzwe hadi asilimia tano.isitoshe wameitaka serikali kufafanua majukumu ya serikali ya kaunti katika usimamizi wa hazina hiyo.