Wizara ya habari yazindua mkakati wa utendakazi

  • | KBC Video
    4 views

    Wizara ya teknolojia ya habari, mawasiliano na uchumi dijitali imebuni malengo madhubuti ya utendakazi katika kipindi cha fedha cha mwaka-2025/2026. Katibu wa idara ya teknolojia ya habari na mawasiliano Mhandisi John Tanui akizungumza wakati wa uhakiki wa kandarasi za utendakazi uliotekelezwa na wakuu wa idara za serikali alisema malengo hayo yanaambatana na mpango wa serikali wa kukuza uchumi wa kidijitali humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive