Wizara ya kilimo kuanza kuagiza mbolea kutoka Tanzania

  • | Citizen TV
    807 views

    Serikali ya Kenya inapania kuagiza mbolea ya bei nafuu kutoka taifa jirani la Tanzania kuanzia mwezi wa Julai mwaka huu.