Wizara ya Kilimo yaonya kuhusu uwezekano wa ukame katika miezi zijazo

  • | TV 47
    8 views

    Wizara ya kilimo imeonya kuhusu uwezekano wa taifa kushuhudia ukame kati ya mwezi oktoba na disemba mwaka huu, hali hii ikitarajiwa kuwaathiri zaidi wafugaji hasa kwenye maeneo kame kutokana na kupungua kwa malisho ya mifugo.hata hivyo, wizara ya kilimo imebuni kundi maalum linaloangazia usalama wa lishe ya mifogu ili kuzuia hali ya mifugo kuangamia kwa kiasi kikubwa kama ilivyoshuhudiwa mwaka 2022 wakati taifa lilikumbwa na janga la ukame.kulingana na dkt. Stanely mutua ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha mifugo kwenye wizara ya kilimo, mikakati ipo ikiwamo uhifadhi pamoja na ugavi bora wa vyakula vya mifugo hasa katika maeoneo kame nchini ili kuzuia majanga zaidi. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __