Wizara ya Leba na ulinzi wa kijamii imeonya tasisi zote za uajiri humu nchini

  • | KBC Video
    Wizara ya Leba na ulinzi wa kijamii imeonya tasisi zote za uajiri humu nchini ambazo shughuli zao sio halali, kwamba zitakabiliwa na ghadhabu kamili ya kisheria. Waziri wa Leba na ulinzi wa kijamii Simon Chelugui amedokeza kwamba ni asilimia 40 pekee ya taasisi hizo ambazo zinatimiza mahitaji ya kisheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya