Wizara ya madini na uchumi wa bahari yazindua usafirishaji wa shehena ya samaki kutoka Shimoni

  • | Citizen TV
    145 views

    Wizara ya madini na uchumi wa bahari na maziwa inazindua usafirishaji wa shehena ya kwanza ya samaki kutoka kiwanda cha samaki cha Kibuyuni eneo la shimoni kaunti ya Kwale. Samaki hao wamekukua wakinunuliwa kutoka kwa wavuvi wa eneo hilo na wanasafirishwa hadi UChina. Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa Salim Mvurya anaongoza uzinduzi huo katika kiwanda cha Huawen foods EPZ.