Wizara ya madini yatoa mwongozo wa kisheria eneo la Turkana

  • | Citizen TV
    80 views

    Wizara ya madini na maswala ya mazingira kaunti ya Turkana imepokea mwongozo ya kusaidia utekelezwaji wa sheria itakayolinda wachimba madini na migodi dhidi ya wanyakuzi kaunti hii.