Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya mashauri ya Kigeni yahitaji Shilingi 400M kurejesha Wakenya waliokwama mataiafa ya kigeni

  • | Citizen TV
    1,978 views
    Duration: 2:54
    Wizara ya Mashauri ya Kigeni nchini sasa inasema inahitaji shilingi milioni 400 kuwarejesha nchini Wakenya waliokwama mataifa ya Mashariki ya Kati na hata Urusi. Maafisa wakuu wa wizara hiyo waliofika mbele ya kamati ya Bunge la Kitaifa kutetea bajeti yao ya mwaka wa fedha 2026/27 wamesema Wakenya 15 waliokuwa wakifanya kazi Iran wameondolewa na kupelekwa Uturuki. Zaidi ya Wakenya laki tano wako Mashariki ya Kati.