Wizara ya Mazingira kaunti ya Kisii yazindua wanakamati wakuweka mikakati na kuhamasisha wakaazi

  • | Citizen TV
    149 views

    Wizara ya Mazingira kaunti ya Kisii imezindua wanakamati watakaohudumu kwenye kamati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kutoka wadi 45. Hii ni mojawapo ya njia za kutoa hamasisho kwa wananchi kujihusisha katika utunzi wa mazingira. Uzinduzi wa wanakamati hao uliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya Mafunzo ya wakulima mjini Kisii(ATC) pia unatarajia kuwashirikisha ufadhili kutoka serikali ya kaunti ya Kisii kufanikisha shughuli hiyo. Maswala ya utunzi wa vyanzo vya maji na kukabili miti ya mikalatusi ingali changamoto, serikali ya kaunti hiyo ikisema mikakati imewekwa kukabili