Wizara ya mazingira na elimu kushirikiana kwa mpango wa upanzi wa miti

  • | Citizen TV
    485 views

    Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu na Waziri wa Mazingira Soipan Tuya wamesema kuwa wizara zao zinapania kushirikiana kwa lengo la kufundisha sayansi ya Misitu na upandaji miti kwa takriban wanafunzi milioni 17 kutoka umri mdogo.