- 146 viewsDuration: 1:46Wizara ya mazingira pamoja na idara ya misitu nchini zimesema kuwa mpango wa serikali wa “linda mau, boresha maisha” unaolenga kupanda miti katika ekari elfu 33 za msitu wa Mau zilizoharibiwa na wananchi unahitaji miche milioni tatu kabla ya kuanza kwa msimu wa mvua za masika.