- 6 views
Wizara ya nyumba imeungana na taasisi za fedha ili kutekeleza mpango wa nyumba za bei nafuu. Wakenya sasa wanaweza kupata fedha za kununua nyumba kupitia benki na vyama vya ushirika baada ya kuonyesha nia na kuwekwa katika kundi la mapato yao kupitia tovuti ya boma yangu. Kulingana na katibu wa wizara ya makazi, Charles Hinga, ambaye alikuwa akizungumza wakati wa mkutano wa wadau na taasisi za fedha, hatua hii haitatui changamoto za usambazaji tu bali pia serikali itatumia mifumo iliyopo ya usambazaji nyumba na ukusanyaji wa malipo ambayo tayari imeanzishwa na taasisi za fedha.
Wizara ya nyumba yaungana na taasisi za fedha ili kutekeleza mpango wa nyumba za bei nafuu
- - Duniani Leo ››
- 18 Jun 2025 - The shooting will plunge President William Ruto into a deeper public crisis amid outrage against his government.
- 18 Jun 2025 - All civil servants under the age of 45 were transitioned into the new system
- 18 Jun 2025 - Sources close to the legislator claim he has shown no remorse over the missing funds.
- 18 Jun 2025 - Nyakang’o warned that the disbursement for June will likely spill over into the next fiscal year.
- 18 Jun 2025 - The Kenya National Bureau of Statistics estimates that in 2024, the country had 5,670,020 youth aged between 15 and 19.
- 18 Jun 2025 - Initially, the Ministry of Defence was against physical appearance of the foreign military bosses before the committee
- 18 Jun 2025 - Kenya’s quest for a maiden gold medal at the prestigious World Rapid and Blitz Chess Championship came to a valiant but ultimately unfulfilled end, as the country’s sole representative, Equity Chess Club, exited the competition at the group stage in…
- 18 Jun 2025 - Kilifi County Assembly Speaker Teddy Mwambire is facing impeachment after being accused of gross misconduct, incompetence, and flagrant violations of the Constitution. In a notice of motion tabled before the assembly, Tezo Ward MCA Thomas Chengo urged…
- 18 Jun 2025 - The gunmen attacked after dark and chased farmer Fidelis Adidi away from the central Nigerian village of Yelwata. The next morning, he returned to find the charred remains of one of his two wives and four of his children.
- 18 Jun 2025 - Along the sparkling shores of Tumbe Beach in Msambweni sub-county, Ashura Shee, 51, wades into the ocean every morning with purpose and pride. Shee is one of more than 800 women in Kwale County whose lives are being transformed by seaweed farming, and…