Wizara ya viwanda yaunga mkono hatua ya KEBS kuhusu mafuta ya kupikia

  • | Citizen TV
    576 views

    Wizara ya ustawishaji viwanda nchini imeunga mkono hatua ya punde ya halmashauri ya ukadiriaji ubora wa bidhaa nchini KEBS kuondoa kwenye maduka baadhi ya mafuta ya kupikia kwa kukosa viwango bora vya bidhaa. Katibu Karimi Kaberia hata hivyo amewahakikishia wakenya kuwa mbali na mafuta yaliyoagizwa kutolewa madukani, mengine yako salama kwa utumizi wao