Wizi wa mabegi ya wasafiri kisiwani Lamu

  • | Citizen TV
    67 views

    Visa vya wizi wa mabegi ya abiria pindi wanaposhuka kutoka kwenye boti katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu vimeendelea kuongezeka na kuzua wasiwasi miongoni mwa wasafiri