Wizi wa maji wachangia uhaba wa maji kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    233 views

    Gavana wa Mombasa Abulswamad Sharif Nassir amekiri kwamba uhaba wa maji umekuwa kero kwa wakazi. Hii ni baada ya wakazi kulalamikia ukosefu wa bidhaa hiyo muhimu