Wizi wa mifugo Laikipa

  • | Citizen TV
    301 views

    Wakazi wa eneo la Nturukuma, mjini Nanyuki Kaunti ya Laikipia, wanalalamikia kupoteza mifugo wao kufuatia visa vya ng’ombe wao kuchinjwa na watu wasiojulikana. hali hiyo imewaacha bila riziki na kuongeza hofu miongoni mwa jamii