16 Mar 2026 10:48 am | Citizen TV 488 views Duration: 2:44 Serikali ya kaunti ya Samburu imezindua mpango wa kusambaza mbegu kwa wakulima huku wakazi wakitakiwa kukumbatia kilimo kama njia mbadala ya kujihakikishia utoshelevu wa chakula badala ya kutegemea mifugo peke yake.