Wizi wa ng'ombe waongezeka katika eneo la Borabu kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    150 views

    Wenyeji wa Manga eneobunge la Borabu kaunti ya Nyamira wanaendelea kulalamikia kudorora kwa usalama na kuenea kwa wizi wa ng'ombe kwenye mpaka wa eneo hilo na Bomet