Wizi wa shilingi 450 M magerezani

  • | Citizen TV
    3,693 views

    Jamaa mmoja anyefanya kazi ya usafi katika idara ya magereza ameshtakiwa kwa kupokea Ksh.257 M kupitia kampuni saba tofauti zinazohusishwa na kusambaza bidhaa hewa katika idara hiyo. Eric Kipkirui Mutai amesajiliwa kama mkurugenzi wa kampuni hizo zilizopewa kandarasi za kusambaza bidhaa katika magereza kadhaa jijini Nairobi.