Yabainika kwamba malori mengi yanabeba uzani kupita kiasi

  • | KBC Video
    72 views

    Malori 500 kati ya 90,000 yaliyopimwa katika kituo cha kupima uzani wa malori cha Gilgil yalipatikana yamebeba uzani kupita kiasi baada ya wachukuzi kuyakarabati ili yaweze kubeba uzani zaidi.Kampuni iliyopewa kandarasi ya kusimamia vituo vya kupima uzani wa malori vya Gilgil na Suswa imesema imeshuhudia visa ambapo madereva wanainua sehemu moja ya magurudumu ya malori yao ili yaweze kubeba mizigo ya uzani usioruhusiwa kisheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #weighbridge #News