Yahaya Dahiyr ataka kaunti ziendelee kutoa ufadhili wa eleimu

  • | Citizen TV
    48 views

    Katibu wa wizara ya fedha kaunti ya wajir amemkosoa mdhibiti mkuu wa bajeti nchini kwa kuleta Sheria inayopinga kaunti kutoa basari kwa wanafunzi. Kulingana naye, fedha hizo zilikuwa zinasaidia mno wanafunzi wengi wasio jiweza Huku akisema hazina ya NG-CDF pekee haitoshelezi mahitaji ya wakenya.