Blinken akutana na Prince wa Saudi Arabia

  • | VOA Swahili
    1,143 views
    Katika mlolongo wa habari za dunia suala la demokrasia limeshika kasi. Pia ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje nchini Saudi Arabia. Ungana na Kennes Bwire kwa muhtasari wa habari mbalimbali #demokrasia #muhtasari #duniani #voa #dunianileo #antonyblinken #marekani #saudiarabia #mohammedbinsalman - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.