Yellen asifu ushirikiano wa biashara kati ya Afrika Kusini na Marekani

  • | VOA Swahili
    120 views
    Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amekamilisha ziara muhimu yenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa biashara kati ya Marekani na nchi za Afrika. Ziara yake imefanyika wakati mkuu wa IMF alikua pia anatembelea nchi za Afrika kuzungumzia suala la madeni ya nchi hizo. Originally published at - https://www.voaswahili.com/a/6937159.html