Yesu wa Tongaren ataka Mazungumzo na Serikali akidai anaingiliwa kisiasa

  • | West TV
    2,146 views
    Eliud Wekesa almaarufu Yesu wa Tongaren amewataka viongozi serikalini kushiriki meza ya mazungumzo naye badala ya kuleta siasa kwa kazi yake iliyomleta humu duniani