Yevgeny Prigozhin ni nani?

  • | BBC Swahili
    2,897 views
    Yevgeny Prigozhin amekuwa mhusika muhimu katika operesheni ya Urusi dhidi ya Ukraine, akisimamia jeshi binafsi la mamluki wanaoongoza mashambulizi ya Urusi katika maeneo muhimu ya vita. Je safari ya Yevgeny Prigozhin ilianzia wapi? #bbcswahili #urusi #ukraine