Yuko wapi Boniface Mwangi ?

  • | Citizen TV
    3,033 views

    Maswali yameendelea kuibuka kuhusu aliko mwanaharakati Boniface Mwangi, siku nne baada ya kuzuiliwa kwake nchini Tanzania. Sasa familia yake inataka serikali za Kenya na Tanzania kumrejesha Mwangi nyumbani kwani juhudi za kutaka majibu kutoka ubalozi wa Tanzania zimeambulia patupu.