Yuko Wapi Brian Odhiambo?: Mwili Uliopatikana Ziwa Nakuru Sio Brian Odhiambo

  • | TV 47
    44 views

    Yuko Wapi Brian Odhiambo?: Mwili Uliopatikana Ziwa Nakuru Sio Brian Odhiambo

    Kupatikana kwa maiti iliyoripotiwa kuonekana ndani ya ziwa Nakuru kuliibua matumaini makubwa kwa familia ya Brian Odhiambo, mvuvi aliyepotea mwezi mmoja uliopita.

    Hata hivyo, matumaini yao yalififia baada ya kuthibitisha kuwa haukuwa mwili wa Brian.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __