Yuko wapi Maina Njenga?

  • | Citizen TV
    35,949 views

    Familia ya aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga sasa inataka maafisa wa usalama kueleza aliko jamaa yao, siku nne baada ya kutoweka wake. Familia hii ikidai kuwa njenga alichukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa usalama, ila kufikia sasa hajafikishwa mahakamani na wala hawajui aliko. Haya yakijiri huku senata wa vihiga godfrey osotsi akijitokeza, akidai kuwa alikuwa mafichoni baada ya kufahamu alikuwa akitafutwa na polisi.