Yuko wapi Ndiangui?

  • | Citizen TV
    2,478 views

    Maswali yameendelea kuhusu aliko mwanablogu Ndiangui Kinyagia huku sasa idara ya upelelezi ya DCI ikisema kwamba mwanablogu huyu hayuko mikononi mwa polisi. Kinyagia alitekwa nyara na watu wasiojulikana kutoka nyumbani kwake katika eneo la Kinoo siku kumi zilizopita na hadi leo hajulikani aliko. Haya yanajiri huku mahakama kuu ikimuamuru Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja kumwasilisha Kinyagia mahakamani hapo kesho.