- 155 viewsDuration: 2:59Mshindi wa nishani ya shaba wa urushaji tufe maarufu kama discus katika michezo Afrika Mashariki ya shule za upili, Zacharia Kamande ana ndoto ya kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya kimataifa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya