Zachariah Njeru ashika usukani wizara ya maji

  • | Citizen TV
    161 views

    Waziri mpya wa maji Zachariah Njeru ameahidi kuvalia njunga masuala ya maji na kutatua shida zinazowakumba wakenya.