Zahanati 142 zimepokea dawa Kilifi

  • | Citizen TV
    185 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi kupitia idara ya huduma za afya imethibitisha kuwa zahanati 142 kaunti hiyo hupokea dawa mara kwa mara ili kuboresha huduma za afya kaunti hiyo.