Zahanati ya Ekerubo Gietai katika wodi ya Itibo yafungwa kutokana na mazingira duni

  • | Citizen TV
    96 views

    Zahanati ya Ekerubo Gietai katika wodi ya Itibo, Mugirango Kaskazini kaunti ya Nyamira imefungwa kutokana na mazingira duni ikiwamo jengo ambalo lina nyufa, vyoo vilivyoporomoka na ukosefu wa sehemu ya kuchomea takataka.