Zaidi ya 20,000 wafaidika na ujenzi wa barabara Kiambu

  • | Citizen TV
    1,539 views

    Ni afueni kwa wakazi zaidi ya 20,000 wa kaunti ya Kiambu baada ya ujenzi wa barabara kurejelewa katika eneo bunge la Lari.