Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya 300 wakamatwa kwa kuvuka barabara isivyofaa

  • | Citizen TV
    12,259 views
    Duration: 3:01
    Watu zaidi ya 300 wamekamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kuvuka barabara mahali pasipofaa au kutotumia daraja la wanaotembea kwa miguu. Kwenye operesheni iliyoanzishwa na Mamlaka ya Uchukuzi na Usalama Barabarani kwa ushirikiano na polisi mwezi jana, watu hao walipigwa faini ya shilingi 500. Ben Kirui anatupa taarifa hii kwa kina.