Zaidi ya asilimia-40 ya wanawake walio kwenye ndoa humu nchini wamewahi kupigwa na waume wao.

  • | KBC Video
    9 views

    Zaidi ya asilimia-40 ya wanawake walio kwenye ndoa humu nchini wamewahi kupigwa na waume wao. Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka-2022 kuhusu idadi ya watu na afya, wanawake wanne kati ya kumi pia wamekuwa waathiriwa dhuluma za kijinsia kwa njia moja au nyingine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News