Zaidi ya familia 100 Kongowea zinaishi kwa hofu

  • | Citizen TV
    820 views

    Zaidi ya familia 100 kutoka kongowea Kaunti ya Mombasa, ziko kwenye hatari ya kubomolewa makazi yao baada ya bwenyenye anayedai umiliki wa ardhi hiyo kung’oa paa za baadhi ya nyumba zilizoko katika ardhi hiyo