Zaidi ya familia 23,000 zimeathiri na mvua inayonyesha

  • | Citizen TV
    5,897 views

    Familia zaidi ya 23,000 zimeathirika na mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika kaunti 22 nchini. Hapa Nairobi, zaidi ya familia elfu sita zimeathirika kutokana na athari za mvua inayonyesha. Na kama Gatete Njoroge anavyoarifu, baadhi ya barabarani hazipitiki huku nyumba pia zikijaa maji