Zaidi ya familia 30 katika mtaa wa Amatu, Tigania West wahofia mlipuko wa magonjwa ya maji machafu

  • | Citizen TV
    341 views

    Familia zaidi ya 30 katika mtaa wa Amatu, ulioko soko ya Kianjai eneobunge la Tigania West kaunti ya Meru zinaishi kwa hofu ya kuambukizwa magonjwa yasababishwayo na maji machafu.