Zaidi ya familia 50 wapoteza makao Mtwapa kufuatia mzozo wa ardhi

  • | Citizen TV
    1,500 views

    ZAIDI YA FAMILIA 50 ZIMEACHWA BILA MAKAO ENEO LA MTWAPA KAUNTI YA KILIFI KUFUATILIA UBOMOAJI KWENYE MZOZO WA ARDHI. INADAIWA MATINGA NA VIJANA WALIOHUSIKA KWENYE UBOMOAJI HUO CHINI YA ULINZI WA MAAFISA WA POLISI, WALIFIKA ENEO HILO LA JUMBA RUINS MWENDO WA SAA TISA USIKU NA KUWAFURUSHA KABLA YA KUANZA KUBOMOA