Zaidi ya familia 500 Turkana waathirika baada ya mvua kubwa kunyesha na kuingia katika makaazi yao

  • | Citizen TV
    499 views

    Zaidi ya familia mia tano katika Kijiji cha Kanamkemer, kaunti ya Turkana wanakadiria hasara kubwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kuingia katika makaazi yao.