Zaidi ya familia 700 zimeathirika na mafuriko eneobunge la Budalang’i kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    659 views

    Zaidi ya familia 700 zimeathirika na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya eneobunge la Budalang'i kaunti ya Busia. Wakaazi hawa wakiendelea kukadiria hasara ya mashamba na hata nyumba zao. Na kama Jayne Cherotich anavyoarifu, Ujumbe wa maafisa wakuu wa serikali ukiongozwa na mawaziri Ababu Namwamba na Peninah Malonza ukitarajiwa kuzuru eneo hili.