Zaidi ya Familia mia sita zahama makwao

  • | West TV
    59 views
    Familia zaidi ya mia sita katika eneo bunge la Budalang'i zimelazimishwa kugura makazi yao kutokana na mafuriko yanayoendelea kuongezeka. anavyoarifu jeremy omondi wafanyabiashara katika soko la mau mau ambalo limezingirwa na maji wanakadiria hasara ya shilingi milioni sita kila siku kutokana na mafuriko hayo ya kufurika kwa ziwa victoria huku miundo msingi ikiharibika.