Zaidi ya mahamali 1,000 wanaobeba mizigo katika mabohari kaunti ya Mombasa walamikia kunyanyaswa

  • | Citizen TV
    432 views

    Zaidi ya mahamali 1,000 wanaobeba mizigo katika mabohari kaunti ya Mombasa wanalalamikia kunyanyaswa kupitia malipo duni mbali na kukithiri kwa ufisadi katika malipo yao. Wanadai baadhi ya maajenti wamekuwa wakiwakandamiza na sasa wanataka serikali kuingilia kati ili kuhakikisha wamepokea nyongeza kwa kila gunia la bidhaa wanalobeba. Francis Mtalaki anaarifu zaidi kutoka Mombasa.

    gun