Madaktari wanaotibu nasuri watakiwa kupata mafunzo ya mara kwa mara kuboresha ujuzi

  • | NTV Video
    122 views

    Madaktari ambao hutibu kina mama wanaokumbwa na tatizo la nasuri (fistula)) wametakiwa kupata mafunzo ya mara kwa mara ili kuimarisha ueledi wao katika kutoa matibabu hayo kwa watu walioathirika.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya