Zaidi ya shule 10 katika eneo la Lari, kaunti ya Kiambu zifungwa baada ya wanafunzi kugoma

  • | NTV Video
    1,277 views

    Zaidi ya shule 10 katika eneo la Lari, kaunti ya Kiambu zimefungwa baada ya wanafunzi kugoma. Kulingana na maafisa kutoka Wizara ya Elimu, wengi wao walitaka tu kurudi nyumbani bila sababu za kimsingi za kuzuia rabsha shuleni.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya